MAJEMBE WAILALAMIKIA MANISPAA YA SONGEA
MAJEMBE WAILALAMIKIA MANISPAA YA SONGEA
KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imeilalamikia halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwamba haijatoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya ulipaji wa ushuru (Service Levy), kabla kampuni hiyo haijaanza kazi ya ukusanyaji. Majembe Auction Mart imeingia mkataba na manispaa hiyo kuwa wakala wake wa ukusanyaji ushuru. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Majembe Auction Mart Nyanda za Juu Kusini,…
View On WordPress
















