MFUNGO WA SIKU KUMI, WA MWISHO WA MWEZI| SIKU YA 10
MFUNGO WA SIKU KUMI, WA MWISHO WA MWEZI| SIKU YA 10
SIKU YA KUMI, 28/02/2019.
KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA (THE PRINCIPLE OF SOWING AND REAPING).
Utangulizi
*Maisha ni shamba au ardhi ambayo inatawaliwa na kanuni ya kupanda na kuvuna.*
•Kila tendo tunalotenda duniani ni mbegu itakayotoa matokeo mazuri au mabaya kutegemea na uzuri au ubaya wa tendo husika.
•Kila wazo tunalowaza ni mbegu, litaleta mavuno mazuri au mabaya kutegemea uzuri au ubaya wake.
View On WordPress














