MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 4]
MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -MAY [SIKU YA 4]
NGUVU YA KUKABILI HABARI MBAYA (THE POWER TO WITHSTAND BAD REPORTS).
Maandiko:
“Watu waliposikia HABARI HIZO MBAYA wakaomboleza wala hapana mtu aliyevaa vyombo vyake vya uzuri” (Kutoka 33:4).
1. Habari mbaya zinaweza kuleta kilio na maombolezo kwa wanaozipokea
2. Habari mbaya anazopokea mtu zinaweza kuathiri hata uvaaji na mwonekano wake wa nje!
“Wakawaletea wana wa Israeli HABARI MBAYA ya ile…
View On WordPress














