#CloudsMediaGroup itaendeleza moto wa kuwafungulia dunia vijana wa Kitanzania kupitia michezo mbalimbali. Akifunguka katika hafla ya kuzindua shindano la ‘Strong Man In Tanzania’ Mkuu wa Idara ya Ubunifu na Mikakati wa Clouds Media Group, Reuben Ndege (@nchakalih ) amesema kama ilivyokuwa kwa Ndondo Cup na Simba Day, CMG itatutumia kikamilifu platform zake kuhakikisha Vijana wa Tanzania wanapata kikamilifu uhondo wa kinachojiri katika shindano hili ambalo limeandaliwa na kampuni ya DCL kwa kushirikiano na idara ya Ubunifu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii. Shindano hili litahusisha Mabaunsa , Wabeba Rumbesa , Watunisha Misuli pamoja na Wanafunzi wa vyuo, ikiwa na lengo la kuwapa burudani watazamaji, ajira pamoja na kuongeza wigo wa ushiriki katika mashindano ya Olympic. #CloudsDigitalUpdates #SoudyBrown #SoudyBrownOnline #SoudyBrownLive #NikisemaNimesemaNaSifuti https://www.instagram.com/p/CUKydW-Mq3g/?utm_medium=tumblr

















