credit: @cloudsfmtz... March 21 msanii Shetta alithibitisha taarifa za gari yake aina ya Discovery 4 kushikiliwa na mamlaka ya mapato nchini (TRA) kwa madai tajwa kuwa ni kutokulipa kodi, jambo ambalo lilipelekea taarifa kuenea mitandaoni kumuhusu msanii huyo. Kupitia Whatsapp Status ya Shetta ameweka bank slip inayoonyesha amelipa kodi kiasi cha Tsh 12,986,920/= na kuambatanisha na maneno yanayosomeka "My babe is back" akieleweka kuwa gari yake hiyo tayari imerejea mikononi mwake. | Swipe kushoto kutazama bank slip. #CloudsDigitalUpdates #SoudyBrown #MakorokochoStudio1 #Shilawadu . . . . MUHIMU: KinaDada wanaojipenda Kupendeza Ni Jadi Yenu, Basi Pale Sinza Kwenye Duka La @qqtrends4u Wameleta Mzigo Mpya Kwa Bei Nafuu 👗👠🥿👡👜 ——————————————————————- . . Big Shout Out Kwa Wakombozi Wa Swagg Town @Vunjabei Cku Hizi Tunapiga Maraba Makali Ma Jeans Tshirts Kwa Kuvunja Bei 👕👖👟🧢 ——————————————————————— . Utamu Wa @asas_dairies Usiupimie 😍😍😋😋😋 ———————————————————————— . . PIGA KELELE KWA DSTV YAKEEEEE WEUWEEEEE ———————————————————————— Pata kujua yanayojiri ulimwenguni, kwa kutazama na kufuatilia habari kupitia chaneli za habari *CNN* 401 pamoja na *Euro News* 414 zilizoshushwa mpaka kifurushi cha Bomba 19,000 tu. Hatuiishii hapo ndani ya kifurushi cha Bomba, mtoto wako atafurahia na kujifunza kupitia chaneli ya watoto *Da Vinci* 318 pamoja na *Mind Set* 3019 Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako ili usipitwe na burudani hii! Kama Huna DStv Piga Simu 0659070707 Utaletewa Bure, Utafungiwa Bure Na Utaunganishwa na Kifurushi Cha Compact Kwa Shilingi 79,000/= Tu Waambie Umeunganishwa Na #soudybrown ———————————————————————- . . #soudybrownnadstv #shilawadu . . #MakorokochoStudio1Crew @KabutiOnyango @lubaacris @wizzypixel @king_gnex @gazuko_junior https://www.instagram.com/p/B-JXnomhvS0/?igshid=as0nntlw4bzv