#REPOST @bbcswahili with @get__repost__app Idadi ya siku ambazo zinarekodi joto kali inayofikia nyuzijoto 50 zimeongezeka mara mbili tangu miaka ya 1980, utafiti wa BBC umebaini. •"Ongezeko maradufu la kiwango cha joto duniani linaweza kuhusishwa kwa asilimia 100 na uchomaji wa makaa ya mawe," anasema Dkt. Friederike Otto, mwanasayansi anayeongoza katika utafiti wa hali ya hewa. • Maeneo mengi zaidi ulimwenguni yameanza kurekodi matukio ya joto kali au mafuriko, ikitoa changamoto ambazo hazijawahi kutokea mbeleni, kwa afya ya binadamu na jinsi tunavyoishi. • Je tufanye nini ilikujiokoa? • "Tunahitaji kuchukua hatua haraka. Kadiri tunavyopunguza kasi ya uchafuzi wa mazingira, ndivyo tutakavyokuwa salama," anasema mtafiti wa hali ya hewa Dkt Sihan Li. • • • #tabianchi #mazingira #kilimo #mafuriko #kiangazi #mazingirayangu #bbcswahili #uchafuziwahewa #njaa #repostandroid #repostw10 https://www.instagram.com/p/CUK_0rftZtG/?utm_medium=tumblr