Magazeti ya michezo, kurasa za mbele na nyuma, machi 5,2019 #tabibutv https://www.instagram.com/p/BunMBDsgoRy/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1o5rnd57fvaai
seen from Singapore
seen from Japan
seen from China
seen from United States
seen from Netherlands
seen from Australia

seen from France
seen from China
seen from Türkiye
seen from China

seen from Russia

seen from Malaysia

seen from United States

seen from Lithuania

seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from Malaysia
seen from Australia

seen from Malaysia
Magazeti ya michezo, kurasa za mbele na nyuma, machi 5,2019 #tabibutv https://www.instagram.com/p/BunMBDsgoRy/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1o5rnd57fvaai
Baadhi ya Maeneo jijini Dar Es Salaam Baada ya mvua kunyesha. #mvua #tabibutv #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BujQ5R1j4ih/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1wg0a6w4qu12q
MKUU WA WILAYA YA NEWALA APATA AJALI > Bi. Aziza Mangosongo amelazwa baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa, Lindi - Taratibu za kumhamishia na wenzake watatu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi zinaendelea. #tabibutv #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BujLlJqA3fn/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=cug8kf7omosz
Rais wa DRC Félix Tshisekedi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, ameahidi kuwaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa ndani ya siku kumi zijazo. Akielezea mipango ya serikali yake kwa siku 100 zijazo, rais Tshisekedi amesema atahakikisha pia wanasiasa waliokimbia nchi hiyo kwa sababu za kisiasa, wanarejea nyumbani. Kauli hii inatoa matumaini kwa mwanasiasa Moise Katumbi aliyezuiwa kurejea nchini humo mwaka 2018, na amekuwa akiishi nchini Ubelgiji. Wiki hii msemaji wa Katumbi, alisema mwanasiasa huyo ameanza mchakato wa kuanza kupata pasi yake ya kusafiriia ili arejee nyumbani. Ameeleza kuwa, anafanya hivyo ili kufanikisha mchakato wa demokrasia katika taifa hilo la Afrika ya Kati. Mbali na hayo, rais Tshisekedi amesema serikali yake itahakikisha kuwa haki na ukweli zinawekwa katika nafasi ya kwanza. Aidha, amesisitiza kuwa watu watakaopewa kazi ya kutafuta haki, watakuwa ni watu waandilifu ambao pia watakuwa na nia ya dhati ya kupambana na ufisadi. #tabibutv #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BujHUFOAqPH/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=l9v6rzybu9l9