MAENDELEO YA UWANJA WA BUNJU NA KAULI YA MO DEWJI.
styofa doing anything
wallacepolsom

blake kathryn
todays bird
Aqua Utopia|海の底で記憶を紡ぐ
Stranger Things
No title available
Game of Thrones Daily

Janaina Medeiros

JVL

oozey mess

shark vs the universe

JBB: An Artblog!
No title available
🪼
$LAYYYTER
ojovivo
Show & Tell

Product Placement
Peter Solarz

seen from United States
seen from United States
seen from Argentina
seen from Bulgaria
seen from Colombia
seen from Hungary
seen from United States

seen from Canada
seen from United Kingdom
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from United States
@tabibutvonline-blog
MAENDELEO YA UWANJA WA BUNJU NA KAULI YA MO DEWJI.
KITUKO KOCHA WA SIMBA Q AGEUKA MTANGAZAJI AWAHOJI WACHEZAJI WAKE KAMA M...
Leo jioni kikosi cha timu ya Simba kitaondoka kuelekea nchini Algeria kwa kupitia Dubai, UAE ambako kitacheza mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura, mchezo ambao utachezwa siku ya Jumamosi Machi 9, 2019. #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BunpNNCAaG4/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1cwjqze4z4rfs
Inaelezwa kuwa Mkoa wa Dodoma unakabiliwa na upungufu wa damu. Chupa zinazokusanywa kwa mwezi ni kati ya 400 hadi 600 huku mahitaji yakiwa zaidi ya 1,500 na sababu ya mahitaji hayo kuongezeka inatajwa kuwa ni ongezeko la watu. #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BunovoogT50/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=jfgkfvaxor69
Kibonzo. #masoudkipanya https://www.instagram.com/p/Bunmx69AR8W/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=huop0dz9nc47
MAWAZIRI WA FEDHA AFRIKA WAKUTANA KUJADILI HATUA NA SERA ZA KIUCHUMI Mawaziri wa fedha na wataalamu wa nchi za Afrika wamekutana Yaoundé, Cameroon kwenye mkutano wa siku 5, kujadili sera na hatua zinazohitajika kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya kiuchumi #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BunmbvlgOu_/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ozwz47o02yo7
Mauzo na manunuzi ya fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania https://www.instagram.com/p/BunimsdgEqI/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1wu68i6dtpg4o
Magazeti ya michezo, kurasa za mbele na nyuma, machi 5,2019 #tabibutv https://www.instagram.com/p/BunMBDsgoRy/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1o5rnd57fvaai
"Jeshi la polisi linatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio wajinga sana. Wanafahamu na pia wanajua kuannalyse mambo. Niwatole mfano, Alipotekwa Mohamed Dewji, tulipata story nyingi tu za wazungu. Lakini alipopatikana Gymkhana tulijiuliza aliendaje huko. Kisha tunaoneshwa bunduki kuwa ziliachwa.Je kama aliyeacha bunduki angekutana na waliokuwa wakimtafuta polisi ? Baadaye aliyetekwa anaonekana anakunywa chai na Mambosasa" ,,,Hadi leo kimya !! imepita miezi sasa na HAKUNA MAJIBU- Rais John Magufuli:Mo Dewji #modewji #mohammeddewji #tanzania #magufuli #lazaromambosasa https://www.instagram.com/p/BumN4i2AZnb/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=de6gbleam5v4
FAHAMU KUHUSU CHEMBE YA MOYO NA VISABABISHI VYAKE - Chembe ya moyo (Angina Pectoris) ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kwa sasa na hutokea pale moyo unapopata hewa ya Oksijeni kidogo tofauti na mahitaji yake - Hali hiyo inaweza kusababishwa na kuziba kwa mishipa ya damu inayopeleka damu moyoni na kusababisha misuli ya moyo isipate damu ya kutosha inayobeba Oksijeni - Sababu nyingine ni pale moyo unapofanya kazi kubwa sana ya kusukuma damu kiasi kwamba kiwango cha Oksijeni ambacho moyo unapata kinakuwa hakitoshi - Inaelezwa kuwa Watu waliopo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa huo ni; Wanaovuta sigara, Wanene kupita kiasi na wenye ugonjwa wa kisukari - Dalili kubwa ni maumivu katikati ya kifua yanayokuwa kuelekea kwenye mkono wa kushoto - Aidha, ikigundulika mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye misuli ya moyo imeziba mgonjwa atakiwa kufanyiwa upasuaji #afyaborafurahazaidi https://www.instagram.com/p/BumK-s2A6MB/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=myxga8io0zuq
Timu ya Taifa ya Vijana U17 @serengetiboystz wakiwa wanashuka kwenye basi kuelekea uwanjani tayari kwa mchezo wao wa leo dhidi ya Guinea katika mashindano ya Kimataifa ya UEFA ASSIST yanayofanyika nchini Uturuki https://www.instagram.com/p/BulSo4EAmnj/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=6sal2jq3hg6v
Mario Magonga : Rubani wa naibu rais William Ruto afariki baada ya helikopta kuanguka Kenya Rubani wa naibu rais William Ruto amefariki katika jali ya ndege baada ya helikopta aliyokuwemo kuanguka nchini Kenya. Taarifa katika vyombo vya habari nchini zinaeleza kwamba ndege hiyo ilianguka Jumapili mwendo wa saa mbili usiku katika eneo la Turkana. Inaarifiwa kwamba Kapteni Mario Magonga amefariki pamoja na abiria wengine wann Polisi inasema helikopta hiyo imeanguka katika eneo la Labolo, kisiwa chenye milima ya volcano katikakati ya ziwa Turkana - Central Island National Park kaskazini magharibi mwa Kenya. "Taarifa zilizopo zinaashiria kwamba ndege mbili zilitua mapema katika kambi ya Lobolo katika kisiwa hicho kilichopo kwenye mbuga ya kitaifa, hatahivyo moja ndio iliyofanikiwa kutua salama katika eneo hilo," idara ya polisi imesema katika taarifa yake rasmi. Inaarifiwa kwamba vikosi vya usalama vimetumwa katika eneo hilo katika kusaidia kwenye jitihada za kuondosha miili na masalio ya ndege hiyo. Kufikia sasa, chanzo cha ajali bado hakijajulikana. Kapteni Magonga ni nani? Alikuwa rubani wake naibu rais wa Kenya William Samoei Ruto. Aliwahi kuwa rubani katika jeshi la Kenya. Ni mzawa wa Nyamataro, Kitutu Chache kusini, kaunti ya Kisii - kusini magharibi mwa Kenya. Babake ni mwanajeshi mstaafu; Brigedia (rtd) Magonga. Alikuwa rubani mkuu wa helikopta za kampuni ya KIDL helicopters - inayotoa huduma za usafiri binafsi katika eneo zima la Afrika mashariki. Alikuwa mkufunzi aliyehitimu wa helikopta. Alipokea mafunzo kutoka kikosi cha ulinzi Kenya KDF. Ana uzoefu wa kuendesha ndege kwa zaidi ya saa 5500 kwenye ndege za injini moja na injini zaidi ya moja. Kwa waliofahamu, wanamueleza kuwa rubani aliye na taaluma na uzoefu mkubwa, na aliheshimika pakubwa. https://www.instagram.com/p/Buk4NxjAAe9/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1hdv75c32l3hl
Magazeti Leo machi 4 2019 https://www.instagram.com/p/Buk1RfSApG7/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=5qe56a3ir1wm
Mvua ya Leo Dar. https://www.instagram.com/p/BujScHCAEUl/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=sa5braih9hxl
FULL TIME STAND UNITED O SIMBA SC 2 https://www.instagram.com/p/BujRYx9gjEH/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=lcre6woi8axr
Baadhi ya Maeneo jijini Dar Es Salaam Baada ya mvua kunyesha. #mvua #tabibutv #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BujQ5R1j4ih/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1wg0a6w4qu12q
Rais Donald Trump anadai kuwa ripoti ya mchuguzi maalum Robert Muller ni 'hujuma' 03 Machi 2019 Rais wa Marekani Donald Trump amewashambulia vikali mchunguzi maalum Robert Mueller na wakosoaji wake wengine katika kongamano la chama cha Conservative. Katika hotuba inayotajwa kuwa ndefu zaidi katika utawala wake, bwanaTrump alisisitiza kuwa hana uhusiano wowote na madai ya muingilio wa Urusi katika kampeini yake. "Tunasubiri ripoti ya watu ambao hawakuchaguliwa'', aliambia umati wa wanachama wa conservative waliyokuwa wakimshangilia. Bwana Mueller anatarajiwa kuwasilisha ripoti yake kwa mwendeha mashtaka mkuu muda mfupi ujao. "Kwa bahati mbaya mnaweka watu wasiyofaa katika nafasi kadhaa za uongozi, na watu wamekuwa wakilalamikia uwepo wao kwa muda mrefu na sasa wanapanga njama ya kukuondoa madarakani sio?" rais alisema. https://www.instagram.com/p/BujQmxXAEmD/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=12czsxiuprbc9