#ThomasYeyo #Forever Kama Hupendwi kupitwa Tafadhali Tafuta & Usikilize Hii Ngoma inaitwa *FOREVER* by my brother from another Mother alafua utaniambia mziki wake ni Mnene Kiasi Gani. *TOMYEYO* Linaenda kuwa Jina kubwa na Masikioni pa wengi na wewe nakuhitaji uwe mmoja wa ambao watafanikisha hilo kwa kunisaidia *KUPOST* hii _Artwork_ hapo niliyo ambatanisha kwenye _Accounts_ zako za Mitandao ya Jamii huko please. *PIA* naomba usisahau kuni tag kwenye Dunia huko natumia account zifutazo: @lavenderpearlsalon @lulu Jumanne Mwammenywa Instagram & Facebook + Twitter Thanks for your Support & God bless you | yours too. Have a Great day after all that. Love You!.












