ZIJUE FAIDA KUU 3 ZA SIGARA AMINI USIAMINI
UKISTAAJABU YA MUSSA UTAYAONA YA FIRAUNI, HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA FAIDA ZITOKANAZO NA SIGARA SASA HAPA UMEWEKEA FAIDA KUU 3 ZA UVUTAJI WA SIGARA, AMINI USIAMINI
Uvutaji wa sigara ni miongoni mwa viburudisho pendwa kwa watu wa rika zote. Sigara hutengenezwa kwa kutumia karatasi maalum ambayo ndani yake huwekwa tumbaku. Matangazo mengi ya Sigara huandikwa, “ONYO : UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO”. Je, unafahamu ni kwanini watengenezaji wa kiburudisho hiki hutoa Onyo kwa wateja wao? Jibu ni kwamba ndani ya sigara kuna sumu hatari kwa afya ya…
View On WordPress












