Repost @cloudsfmtz Watoto wa mpendwa wetu Hayati. Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakiweka mashada ya maua kwenye nyumba ya milele ya Baba yao. Sote tuseme - Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.. Amen #PumzikaBaba #TutaonanaBaadae https://www.instagram.com/p/CM5h806srYM/?igshid=jcn0wu8dt0qn









