TBT 1999! Erith, Kent UK. Miaka 22 iliyopita. Maisha ni safari, inaweza kuwa ndefu au fupi! Mwezi ujao Agosti nasheherekea kumbukizi yangu kubwa ya kuzaliwa. Sasa rasmi mimi ni Mzee! Ujana ulitaradadi, no complaints! Maisha yaendelee hata katika uzee wangu. Mungu amekuwa mwaminifu sana kwangu hadi sasa. Sifa na utukufu Una yeye hata milele. #mtotowanesi #celebratinglife #tbt🔙 #lifeisgood #rugemutahaba #millardayo #asantemungu #maisha https://www.instagram.com/p/CR5hJsZs8bA/?utm_medium=tumblr














