ZIJUE DALILI 10 ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
ZIJUE DALILI 10 ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
Ifahamikie kwamba majini kama jinsi walivyo viumbe wengine, hutokea kutamani kuwa kwenye mahusiano ya mke au mme wa kibinadamu, hali hii hupelekea kumtafuta ampendae na kufunga ndoa wakati mwingine bila hata kufahamu.
ZIFUATAZO NI DALILI ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
Unakuta mtu kachumbia au kachumbiwa alafu baada ya muda, anasema kwamba hamtaki mwenzie na hayupo tayari kuendelea na…
View On WordPress












