#BreakingNews Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limetoa taarifa ya kutafutwa na kukamatwa popote walipo Babu Tale na Sallam Sk. Kwa ajili ya tuhuma ya uhalifu wa kusambaza video ya Udhalilishaji kupitia mtandao wa Instagram. . Source. Central Police . Ndugu yetu #UdakuTz_ yupo chini ya ulinzi wa Polisi kufuatia kukamatwa na kuhojiwa kwa Masaa kadhaa Bwana Udakutz_ amewataja watajwa wote hapo juu kuhusika Ktk kumpenyezea Video ya Udhalilishaji dhidi ya msanii Nandy na Billnass, Babu Tale na Sallam Sk wanatafutwa na Polisi, Kwa niaba ya Page zote za umbea tunawaomba wajitokeze ama wajisalimishe Polisi Ili wakajieleze Video Hiyo walitaka isambazwe kwa dhumuni Gani? Hatimae kumnusuru Bwana Udakutz arudi Uraiani kama zamani 🙏