UDHALIMU
Ni tabia mbaya ambayo inawatesa watu wengi.
Kama Mtu alikufanyia jambo jema, na unakumbuka alikutoa hatua moja kwenda hatua nyingine na Ukasahau au ukajisahaulisha, na Leo unamsema vibaya; hiyo ni tabia ya UDHALIMU
Kama mtu alikufanyia jambo jema na haukumbuki na kuchukulia kwa uzito kile ulichofanyiwa hiyo ni tabia ya UDHALIMU
Kama Kuna Mtu alisababisha uwe hivyo ulivyo SASA halafu leo unasema…
View On WordPress










