Nchi Yetu Yazimia
Mtima naufungua, mengi kuwaeleza nanena lote kwa pua, nisije kuimezea viongozi lichagua, wapate kututetea nchi yetu yazimia, nani wetu mkombozi
kampeni zilitimia, debeni tukaingia kura zetu tukawapa, uongozi wakaingia umati wa kama papa, sote tulishangilia Nchi yetu yazimia, nani wetu mkombozi
Ahadi kumi na mbili, manifesto sikia ufisadi kipaumbele, afya na elimu pia barabara hata reli, zote kwa…
View On WordPress













