Mambo ya gharama yeye haya muhusu anachotaka ni kile alichokiacha Kuelewa hili vizuri ni lazima uwe na cheti cha matatizo ya akili #Repost @jamiiforums • • • • • #DAR: Aliyekuwa #Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara ambaye sasa amehamia CCM amesema gharama za kurudia uchaguzi hazimhusu bali anachotaka ni Ubunge wake - Waitara alijiuzulu Ubunge na kuhamia #CCM alikopewa tena fursa ya kuwania Ubunge katika Jimbo hilo la #Ukonga - #Mwanasiasa huyo alitangaza kung'atuka ndani ya #CHADEMA kwa kile alichodai ni kutokubaliana na mfumo wa #Demokrasia ndani ya chama hicho - Sababu nyingine aliyoitaja ikiwa ni matumizi yasiokuwa ya wazi ya ruzuku za #chama hicho (at Ukonga)










