#VOA. | Serikali ya Biden kuendeleza demokrasia kwa njia ya amani
#VOA. | Serikali ya Biden kuendeleza demokrasia kwa njia ya amani
Akizungumza juu ya malengo ya sera za kigeni za utawala mpya hapo jana katika wizara ya mambo ya nje Blinken amesema utumaij nguvu imeshindwa kuleta mafanikio mnamo miaka ya nyuma. Jeshi la Marekani likiwa limeshakamilisha karibu miaka 30 ya kuzuia mapigano nchini Irak na miaka 20 nchini Afghanistan, wakosowaji wa uingiliaji kati kijeshi wanatoa tena wito kwa serikali ya Washington kuwarudisha…
View On WordPress














