Wangu Pasta
Utetesi sitasita,kuhusu wa kwetu pasta, Vizuri metukamata,tumefika kwa ukuta, Wakristu amenata,wamebaki wamesota, Eneza neno pasta,uwongo wewe wata. © Kiambi Daniel #Mwanagenzi
Utetesi sitasita,kuhusu wa kwetu pasta, Vizuri metukamata,tumefika kwa ukuta, Wakristu amenata,wamebaki wamesota, Eneza neno pasta,uwongo wewe wata.
Kanisani twakukuta,ukiwa umetunata, Mahubiri ya yaso tata,na maneno yaso tata, Injilini twajikita,mambo mawi kusokota, Eneza neno pasta,uwongo wewe wata.
Pesa tunazozipata,ni vigumu kuzipata, Maisha yanatusuta,kama mawe twayagota, Huna haja…
View On WordPress









