Ugenini
Ukishafunga safari, ya maisha kujaribu Kwenda itafuta heri, kuelekea janibu Nyumbani ukahajiri, ukaisha ughaibu Ugenini kuna tabu, sio sawa na nyumbani ~Utunzi wa Hamisi Kissamvu #Mwanagenzi
Ukishafunga safari, ya maisha kujaribu Kwenda itafuta heri, kuelekea janibu Nyumbani ukahajiri, ukaisha ughaibu Ugenini kuna tabu, sio sawa na nyumbani
Sio sawa na nyumbani, ni mengi yatakusibu Na yote huwa mageni, mengine ya kughilibu Huipata hali gani, ukaitika taibu Ugenini kuna tabu, sio sawa na nyumbani
Kwa hili halina kani, ni jambo la aghalabu Unakua mashakani, hakishi kisebusebu Kuwa mbali…
View On WordPress













