Unabii
Unabii hauhitaji kutengenezewa mazingira ili utimie,labda nakutabiria kuwa UTAMILIKI NYUMBA …Lakini lazima utoe sadaka….hakuna kitu cha namna hiyooo…au nunua Nepi kama huna mtoto …hilo ni neno la Imani
Nabii Mikaya Mwana wa Imla alimtabiria mfalme YEHOSHAFATI MFALME WA YUDA NA MFALME WA ISRAEL..…( 2Wafalme 22)
Walijitokeza manabii hadi wengine wakaja na vyuma…wanamwambia mfalme ndivyo atakavyo…
View On WordPress










