Mungu pekee by Nyashinski @realshinski Sijui Ka ntaona kesho Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee Daima ni we, Imara wasiniangushe. #mungu #Mungupekee #mungupekee🎶🎼👏👏 #Nyashinski #Undebatableking #king👑 @realshinski (at City Park Parkland, Nairobi)

















