IJUE NGUVU YA RANGI ZA NGUO
IJUE NGUVU YA RANGI ZA NGUO
Nguo ni mavazi yenye kustiri na kuhifadhi miili yetu wanadamu ikiwa ni katika hali ya kuleta stara na heshima katika jamii zetu tunazoishi. Mbali na nguo kuleta heshima, hutumika kama pambo ambalo watu hujipamba kwa mitindo mbalimbali sambamba na nakshi za kuvutia.
Kuna aina nyingi sana za rangi za nguo, zipo zile rangi ambazo tumezoea kuziona mara kwa mara na zile ambazo ni adimu au nadra…
View On WordPress












