Amezaliwa
Imanweli jina lake, Aliacha enzi yake, Hadi kuzaliwa kwake, Na bikira mwanamke, Mariam jina lake, Josefu ni baba yake, YESU NI KAKA MKUBWA KAZALIWA KUTUPONYA.
Adamu alipoumbwa, Sheria aliwekewa, Vyote kula ni salama, La! Katikati ni homa, Mema pia na mabaya, Ujuzi kamuwekea, YESU NI KAKA MKUBWA KAZALIWA KUTUPONYA.
Adamu kavumilia, Sheria kuzingatia, Tunda lile hakulila, Eva mkewe akala, Kwa…
View On WordPress














