#TRT: Vitisho vya Trump havikufua dafu UN Licha ya kuwa rais wa Marekani Donald Trump alitoa vitisho vya kukata misaada kwa nchi zitakazopingana na umauzi wake wa kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel,Umoja wa Mataifa umepiga kura dhidi yake.












