VITU VINAVYOFANYA MTU AWE NA UCHUNGU NAFSINI
VITU VINAVYOFANYA MTU AWE NA UCHUNGU NAFSINI
1.Maumivu Kutokana: -Habari Mbaya -Matukio Mabaya Maishani Mwake -Kuumizwa Na Watu Wa Karibu Au Ambao Uliwaamini Na Kuwategemea
2.Hasira Iliyolimbikizwa [Iliyokaa Muda Mrefu Bila Kushughulikiwa] Mtu Mwenye Hasira Ana Kasoro Zifuatazo: -Hana Upendo Wa Kimungu Ndani Yake, La Sivyo Angeachilia Na Asingehifadhi Maudhi Ndani Yake. -Hana Nguvu Ya Kusamehe, Angekuwa Anasamehe Haraka, Asingeweza Kurundika…
View On WordPress












