Kamaru Pumzika
Machozi ya kimahaba, hudodoka kiuchongo, Na kilio si haba, maweni na kwenye pango, Tumempoteza baba, zaumia zetu chango, Tuliza sasa peponi, Kamaru shujaa wetu. ~Utunzi wa Mwangi wa Gĩthĩnji #Mwanagenzi
Machozi ya kimahaba, hudodoka kiuchongo, Na kilio si haba, maweni na kwenye pango, Tumempoteza baba, zaumia zetu chango, Tuliza sasa peponi, Kamaru shujaa wetu.
Nyimbo zako zapendea, nchini na ughaibu, Nyimbo nazo zalelea, kuongoa hata bubu, Adabu hujachelea, kukemea masaibu, Gitaa yako icheze, kupa wako ujagina.
Nakupa neno hayati, we kamaru mwendazake, Hakika ulizatiti, umetuacha kwa shake, Kupa…
View On WordPress










