Biblical Media with Jan-Erik Nyman and Bayana Chunga
Sounds of East Africa Media Forum Plenary Session 4 See video description for more information about the video and the event. DM me with any questions

seen from Malaysia

seen from Greece
seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from China

seen from Russia
seen from United States

seen from Malaysia
seen from United States
seen from Türkiye

seen from Malaysia
seen from China
seen from United States

seen from Iraq

seen from United States

seen from United Kingdom
seen from Jordan

seen from United Kingdom
Biblical Media with Jan-Erik Nyman and Bayana Chunga
Sounds of East Africa Media Forum Plenary Session 4 See video description for more information about the video and the event. DM me with any questions
Kwa nini wasanii wengi wana "tattoo" nyingi katika miili yao? Utakuta msanii anaanza na "tattoo" moja au mbili au tatu, na kadhalika. Lakini kadiri anavyozidi kuwa maarufu ndivyo anavyozidi kuongeza "tattoo"! Kwa nini? #wasanii #artists #tattoo #tattoos https://www.instagram.com/p/B2YUiXXHc0m/?igshid=113ourtjfz1fl
Kamaru Pumzika
Machozi ya kimahaba, hudodoka kiuchongo, Na kilio si haba, maweni na kwenye pango, Tumempoteza baba, zaumia zetu chango, Tuliza sasa peponi, Kamaru shujaa wetu. ~Utunzi wa Mwangi wa Gĩthĩnji #Mwanagenzi
Machozi ya kimahaba, hudodoka kiuchongo, Na kilio si haba, maweni na kwenye pango, Tumempoteza baba, zaumia zetu chango, Tuliza sasa peponi, Kamaru shujaa wetu.
Nyimbo zako zapendea, nchini na ughaibu, Nyimbo nazo zalelea, kuongoa hata bubu, Adabu hujachelea, kukemea masaibu, Gitaa yako icheze, kupa wako ujagina.
Nakupa neno hayati, we kamaru mwendazake, Hakika ulizatiti, umetuacha kwa shake, Kupa…
View On WordPress
Sasa #wasanii mkiitwa na #basata muende kwa T.I.D 🤣🤣😂😂..kumbe yeye ndiye basata😁😁😁 https://www.instagram.com/p/BnDxhhsBkut/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=j74oy5is1cog
PICHA NA HABARI ZA USIKU WA WASATU, BIRMINGHAM, UINGEREZA, APRILI 28 Jumuiya ya wasanii Watanzania Uingereza (WASATU) ilichemsha supu, ukumbi wa Heartlands , Birmigham, Uingereza Jumamosi iliyopita. Makutano haya yalikuwa pia sehemu ya mchango mahususi kusaidia wasichana wanaopewa mimba kabla ya kuwa watu wazima, kitongoji cha Tengeru, Arusha. Fedha zilikusanywa na mjasiria mali mkazi wa Birmingham, Mtanzania Sia Travel. Sia alijaa mlangoni akihakikisha kila senti iiliyolipwa na wahudhuriaji watashiba chakula , sanaa usiku kucha na kuwafariji vigoli wetu. WASATU iliyoundwa mwaka 2016 chini ya udhamini wa Balozi wetu Uingereza, Mhe Asha Rose Migiro...inaendelea,Habari kamili na picha,fuatana nami kwenye Www.swahilinawaswahili.blogspot.com Shukrani @freddymacha14 #UK#birmingham#Tanzania#watanzania🇹🇿#waswahili#eastafrica#ughaibuni#Wabunifu#Uingereza🇬🇧🇹🇿#wasatu#wasanii#sanaa#mapishiyakitanzania🇬🇧🇹🇿#mimbazautotoni🇹🇿Arusha#UK#lifestyleblogger#mswahili#RachelSiwa🙏🇹🇿🇬🇧❤️👍🏾
Wanaowania Tuzo za KILI 2014 ndio hawa, zilizoachwa ziko hapa pia
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui kama unavyoona hapa chini. List nyingine ya washiriki ndio hii hapa chini. Nyingine ni WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – Tubonge ya Jose Chameleone, Nakupenda pia ya Wyre na Alaine, Badilisha ya Jose Chameleone, Kipepeo ya Jaguar, Kiboko changu ya Amani, Weasal na Radio. WIMBO BORA WA TAARAB – Wasiwasi wako wa Mzee Yusufu, asie kujua hakuthamini Isha na Saida Ramadhani, Nipe stara Rahima Machupa, sitaki shari Leila Rashid, fahari ya mwanamke ya Khadija Kopa, mambo bado Khadija Yusufu, kila muomba Mungu ya Mwanahawa Ally. WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone na wine ya Princess Delyla. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins. RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI – Khadija kopa, Vanessa Mdee, Isha Ramadhani, Luiza Mbutu, Catherine (Cindy) MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB – Enrico, Ababuu mwana wa Zanzibar na Bakunde. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) – Allan Mapigo, C9, Enrico, Amoroso na Ababuu mwana wa Zanzibar. WIMBO BORA WA REGGAE – Niwe nawe ya Dabo, hakuna matata ya Lonka, tell me ya Dj Aron ft Fidempha, bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P & Lazzy B, Bongo reggae ya Warriors from the east. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA – Kwejaga nyangisha ya Batarokota, Nalonji ya Kumpeneka, bora mchawi Dar bongo massive, tumbo lamsokota ya Ashimba, Aliponji ya Wanakijiji na Agwemwana ya Cocodo african music band. cdt:MillardAyo
Dogo JanJa akitangaza maamuzi yake, anarudi Tiptop? kaomba msamaha
Interview ya Dogo Janja on AyoTV ambayo ameamua kusema ya moyoni kuhusu kilichotokea baada ya kuondoka kwenye kundi la Tiptop Connection pia akaambatanisha na maamuzi yake ya sasa. Hakuondoka Tiptop vizuri baada ya kumshutumu Madee kutompa pesa za show alizokua anafanya na kwamba alikwenda hata kwenye account yake ya benki na kukuta pesa zote zimechukuliwa. Cheki Video Hapa Chini Dogo JanJa akifunguka Yake Ya Moyoni
crdt:Millardayo.com
JULIE GICHURU interviews WASANII [KENRAZY]
http://youtu.be/Y7esnAdIQLY JULIE GICHURU AND KENYAN ARTISTS ON SUNDAY LIVE 2013 KENRAZY , JULIANI , EKO DYDDA , ALICE KAMANDE , MC PHILLIPO CITIZEN TV KENYA… Video Rating: 5 / 5
View Post