WAO NA SISI NI KAMA HESABU ZA KUJUMLISHA NA KUTOA
WAO NA SISI NI KAMA HESABU ZA KUJUMLISHA NA KUTOA
Historia inatuambia kwenye miaka ya 1800 kabla ya mapinduzi ya viwanda kila nchi ilikuwa masikini na watu wengi walikuwa masikini. Hadithi ilibadilika baada ya mapinduzi ya viwanda kwenye karne ya 19 kuelekea karne 20. Hali iliyowapa nafasi ya watu mbalimbali kufanya wawezalo kulingana na walichokuwa na uwezo nacho. Wenye akili walikimbia, waliokuwa wamepungukiwa na akili kipindi kile walibaki…
View On WordPress







