Siasa si mchezo mchafu, au msafi, wala si mchezo hata kidogo, kwa sababu inaathiri maisha ya watu. Huwezi kucheza na maisha ya watu. Dawa ya mtu anayecheza mchezo mchafu au msafi wa kisiasa, ni uzalendo wa kweli wa nchi yako. Usipigane dhidi ya nchi yako, unaweza kupigana dhidi ya serikali inayokuongozea nchi, lakini pigana kwa ajili ya nchi yako. Ukiwa mzalendo wa kweli wa nchi yako hutakubali maisha yako yachezewe na wanasiasa. #siasa #politics #wanasiasa #politicians #uzalendo #patriotism #maisha #life https://www.instagram.com/p/Bu_EkEtHpNI/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1psamsh2cgn4w












