Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani. Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau. Ukiwa na kipaji nenda shule kurekebisha kipaji chako, ukiwa na ujuzi nenda shule kurekebisha ujuzi wako. #kipaji #talent #wataalamu #experts #chuo #college https://www.instagram.com/p/BwU11SmH5wH/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=deqhwx9uxriy












