#Zaburi #geraldkusekwa https://www.instagram.com/p/CKKCM0bB7-R/?igshid=vzv4xpg796j3
seen from China
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from China

seen from Malaysia
seen from United States
seen from United States
seen from China

seen from United States
seen from China
seen from China

seen from Malaysia

seen from Ukraine
seen from Maldives
seen from China

seen from Malaysia
seen from Ukraine
seen from Singapore
#Zaburi #geraldkusekwa https://www.instagram.com/p/CKKCM0bB7-R/?igshid=vzv4xpg796j3
1 Fanya haraka, ee Mwenyezi-Mungu! Watu wema wamekwisha; waaminifu wametoweka miongoni mwa watu. 2 Kila mmoja humdanganya mwenzake, husema kwa kudanganya na kwa moyo wa unafiki. 3 Ee Mwenyezi-Mungu uikomeshe hiyo midomo ya udanganyifu, na ndimi hizo zinazojigamba kupindukia. 4 Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?” 5 Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Kwa sababu maskini wanadhulumiwa, na wahitaji wanapiga kite, sasa naja, nami nitawapa usalama wanaoutazamia.” 6 Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi, safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri, naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba. 7 Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu. 8 Waovu wanazunguka kila mahali; upotovu unatukuzwa kati ya watu. #Zaburi 12:1-8 BHN #Godisgood#Goodnight#hope#faith#life#Love#peace#wordofGod#Munguyumwema#usikumwema#NenolaMungu#imani#amani#tumaini#upendo#maisha#Tanzania#Daresalaam#Coventry#UK#lifestyleblogger#Vlogger#Mswahili🇹🇿#Rachelsiwa🙏❤️😴 https://www.instagram.com/p/B4LAWzLn-XT/?igshid=193il2uu4oan1
“I will bless the LORD at all times; His praise shall continually be in my mouth. My soul shall make its boast in the LORD; The humble shall hear of it and be glad. Oh, magnify the LORD with me, And let us exalt His name together. I sought the LORD, and He heard me, And delivered me from all my fears. They looked to Him and were radiant, And their faces were not ashamed. This poor man cried out, and the LORD heard him, And saved him out of all his troubles. The angel of the LORD encamps all around those who fear Him, And delivers them. Oh, taste and see that the LORD is good; Blessed is the man who trusts in Him! Oh, fear the LORD, you His saints! There is no want to those who fear Him. The young lions lack and suffer hunger; But those who seek the LORD shall not lack any good thing. Come, you children, listen to me; I will teach you the fear of the LORD. Who is the man who desires life, And loves many days, that he may see good? Keep your tongue from evil, And your lips from speaking deceit. Depart from evil and do good; Seek peace and pursue it#Psalms 34:1-14 “Nitamtukuza Mwenyezi-Mungu nyakati zote, sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake. Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi. Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake. Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote. Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe. Maskini alimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akamsikia, na kumwokoa katika taabu zake zote. Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari. Jaribuni mwone Mwenyezi-Mungu alivyo mwema. Heri mtu anayekimbilia usalama kwake. Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu. Hata wanasimba hutindikiwa na kuona njaa; lakini wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu hawakosi chochote chema. Njoni enyi vijana mkanisikilize, nami nitawafundisha kumcha Mwenyezi-Mungu. Je, watamani kufurahia maisha, kuishi maisha marefu na kufurahia mema? Basi, acha kusema mabaya, na kuepa kusema uongo. Jiepushe na uovu, utende mema; utafute amani na kuizingatia#Zaburi 34:1-14#Godisable#Godisgood#kenanbirthday #goodnight🙏🏽🎂🎁
Zaburi 112:6-7
“Mwenye haki hataondoshwa… Atakumbukwa milele (kumbukumbu lake litadumu vizazi vingi baada yake)… Hataogopa habari mbaya, Maana moyo wake uko thabiti kwa kumwamini na kumtumaini Mungu asiyegeuka wala kushindwa na chochote” (Zaburi 112:6-7). Maisha safi ya haki yanalipa! Mwl D.C.K
View On WordPress
Uongo unawazuia wakristo ..
Uongo unawazuia wakristo ..
UONGO UNAWAZUIA WAKRISTO WENGI WASIFURAHIE USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU: “Hatakaa Ndani Ya Nyumba Yangu Mtu Atendaye Hila [Afanyaye Mambo Yake Kwa Uongo Na Pasipo Kweli Kwenye Mambo Yake, Mwenye Kukwepa Na Kuficha Ukweli]. Asemaye Uongo Hatathibitika Mbele Ya Macho Yangu [Hatadumu Na Kukaa Kila Sekunde Kwenye Orodha Ya Ninaowatazama]” (Zaburi 101:7) Mwl D.C.K [email protected]
View On WordPress