
pixel skylines
TVSTRANGERTHINGS
🪼
h
wallacepolsom
he wasn't even looking at me and he found me
art blog(derogatory)
Sweet Seals For You, Always
Game of Thrones Daily
DEAR READER

Janaina Medeiros
$LAYYYTER

roma★
Today's Document
Peter Solarz

Kiana Khansmith
One Nice Bug Per Day
Sade Olutola
sheepfilms

No title available

seen from Argentina
seen from United States

seen from Germany

seen from United States

seen from United States

seen from Ecuador
seen from Brazil
seen from Malaysia

seen from United States

seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from United States

seen from Poland
seen from United States

seen from United States
seen from Spain
seen from Italy

seen from United States
@inukaule
🎓 life! (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CjMZ3H3K1yY/?igshid=NGJjMDIxMWI=
🙏 🎊 (at Central Bible College Tag Dodoma) https://www.instagram.com/p/ChJxDwnr41j/?igshid=NGJjMDIxMWI=
"Na hapana mtu ajitwaliaye mwenyewe heshima hii, ila yeye aitwaye na Mungu, kama vile Haruni." Waebrania 5:4 SUV (at Central Bible College Tag Dodoma) https://www.instagram.com/p/ChJlYlatwG5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Namba yangu mpya ya WhatsApp: 0736 96 13 22 https://www.instagram.com/p/CgpKv9INriY/?igshid=NGJjMDIxMWI=
👄 @biblia.takatifu @bibliayangutakatifu @storyzabiblia @siri_za_biblia @bible_daily_study @somabiblia_official (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfwEwQqt4Tm/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, "na maarifa yataongezeka." [Danieli 12:4 SUV] #socialmedia #socialmediaday @tcra_tanzania @geita_rs @nape_nnauye @wizara_sanaatz @wizara_ya_habari_zanzibar @makumirauniversity_tumaso (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfcHhsPrfWR/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Asante sana kwa utumishi wako katika taifa letu zuri la Tanzania. Ninakutakia kila la kheri katika maisha ya kustaafu. Hekima na uzoefu wako, bado tutavihitaji. Karibu sana Mkuu wa Majeshi. Mwenyezi Mungu aliye Mungu wa Majeshi, akupe neema ya kulitumikia taifa letu ili amani na utulivu tulio nao, uendelee na kuzidi katika Jina la Yesu Kristo, amina. @wizara_ya_ulinzi @jkt_tanzania_sc @jkt (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfZWwLlNPdM/?igshid=NGJjMDIxMWI=
https://youtu.be/CLvKtKA6BZY "Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia." [Isaya 41:13 SUV] (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfWWZm3tdkb/?igshid=NGJjMDIxMWI=
at Geita, Mwanza, Tanzania https://www.instagram.com/p/CfTgUZlrzzL/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Nakutakia wikiendi njema na maandalizi mazuri kwa ajili ya kwenda kumwabudu Mungu wetu aliye hai hapo kesho Jumapili. Kumbuka kuni-follow kwa jina moja tu rahisi👉 @inukaule 👈kupitia Facebook, Instagram na Twitter. Asante sana na Mwenyezi Mungu akubariki sana, sema amina. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfOPQTNr7Re/?igshid=NGJjMDIxMWI=
https://youtu.be/g-uXG4Itr9w (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfMqxoKrn0H/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Haaah! Kumbe ni rahisi hivi! Sikufahamu! 👏 Sasa nimefahamu! 👏 Ni - follow Instagram, Facebook na Twitter kwa jina moja tu rahisi 👉 @inukaule pia utakuta nembo halisi na maridadi kabisa...kama unavyoiona... 🌹 (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfKCx9PLco4/?igshid=NGJjMDIxMWI=
"Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Aliyetukumbuka katika unyonge wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Kila chenye mwili akipa chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Mshukuruni Mungu wa mbingu; Kwa maana fadhili zake ni za milele." [Zaburi 136:1, 4, 23-26 SUV] @farajahamuli @amani_laizer (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CfJWzl0rv9T/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Asante sana Baba yangu... 😍💯... Heri ya siku ya Baba duniani. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Ce_ycr-LD2I/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Pastor Seba akujiwe... Naomba unitangazie hili kwenye maeneo unayoweza kuyafikia kwa social media Mwenye sifa za kuwa matron, mpishi na mlinzi atume majina kwangu leo kwa ajili ya kuwaita kwenye usaili siku ya kesho... Sifa za matron, 1. Aweze kuwa na mzigo wa kulea wanafunzi, awe ameokoka kweli kweli, 2. Awe tayari kulala shuleni, na awe mtu mzima. 3. Akiwa na mafunzo ya utabibu/nearsing itabeba uzito zaidi Sifa za mlinzi Awe amehitimu angalau kidato channe, Awe amepitia nafunzo ya mgambo au Jkt au JW Awe na nidhamu na ushuhuda, Awe na barua ya udhamini kutoka serikali za mitaa. Awe ameokoka kweli kweli Sifa za Mpishi Awe ameokola kwelikweli, Awe na uwezo wa kupika chakula cha watu zaidi ya 500 Awe na utayari wa kulala shuleni, Asiwe mdokozi. MUHIMU: MAJINA HAYA NAYAHITAJI LEO MAANA KESHO NI USAILI. ASANTE. 0763 6 0000 6 AU 0626 6 0000 6. (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CdNc7-HOq_Z/?igshid=NGJjMDIxMWI=
"Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu. Naye akajinyosha akalala chini ya mretemu; na tazama, malaika akamgusa, akamwambia, Inuka, ule. Akatazama, kumbe! Pana mkate umeokwa juu ya makaa, na gudulia la maji, kichwani pake. Akala, akanywa, akajinyosha tena. Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako. Akainuka, akala, akanywa, akaenda katika nguvu za chakula hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu." 1 Wafalme 19:4-8 SUV (at Geita, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CdK4c09O177/?igshid=NGJjMDIxMWI=