MABANDA YA NJIWA YA MBAO, NA YA CHUMA - KUHAMISHIKA (PORTABLE PIGEON HOUSES) 🕊️🏠
LIPA CHUKUA HAPO HAPO HAKUNA HAJA YA KUWEKA ODA
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @mabandayamifugo @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo @joackanimalfeeds @mifugokilimo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
We construct wooden pigeon houses.
Hili ni banda bora la kufugia njiwa, limetengenezwa kwa mbao imara, lina uingizaji hewa mzuri na muundo unaofaa kwa afya na uzalishaji wa njiwa wako.
📌 Faida za Banda Letu la Njiwa:
✅ Linaweza kuhamishwa kirahisi ukihama eneo
✅ Linafaa kwa kufugia njiwa wa nyama au mapambo
✅ Linalinda njiwa dhidi ya mvua, jua kali na wanyama wakali
✅ Urahisi wa kusafisha
✅ Muundo unaosaidia njiwa kuzaliana vizuri
Kama umepanga mahali na unapenda kufuga njiwa, haya mabanda yanakufaa maana utakapohama unahama na banda lako.
Kama hauna eneo kubwa la kujenga banda la kudumu na unatamani kumiliki njiwa wachache au wengi kwa biashara, haya mabanda yanafaa sana.
⚠️ Tunashauri: Usifuge kwa matumizi ya nyumbani tu — fuga kibiashara.
#zalishazaidi #surplus weka sokoni.
Ukifuga kibiashara utaongeza:
✔️ Kipato chako binafsi
✔️ Ajira kwenye mnyororo wa thamani
✔️ Uchumi wa nchi
📞 Call / Text / WhatsApp: +255 712 253 102
🕐 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi – Saa 5 Usiku (7:00am – 11:00pm)
📍 Ofisi zetu zipo:
Tegeta Wazohill – Dar es Salaam
Bagamoyo
Ofisi ya Tegeta ipo Wazohill, barabara ya kwenda kiwanda cha Twiga Cement, opposite na kota za kiwanda.
☎️ Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 430 263
📧 Email: [email protected]
🌐 Website: https://joack.co.tz
🔎 Google Location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackbagamoyo @joackanimalclinic @joackagrovet
#bandalanjiwa #pigeonhouse #ufugajinjiwa mabandayambao kilimobiashara mifugobiashara tanzania joackcompany ufugaji njiwa










