Harakati za Real Madrid kuwanasa wachezaji wakubwa barani Ulaya kwa msimu ujao chini ya Zidane
Harakati za Real Madrid kuwanasa wachezaji wakubwa barani Ulaya kwa msimu ujao chini ya Zidane
Eden Hazard ndio jina la tatu linalotajwa na Real Madrid kwasasa kabla ya msimu wa 2019/20, kufuatia wachezaji Rodrygo Goes na Eder Militao kutwajwa kuhamia Bernabeu msimu ujao inafikiriwa kuwa mwanasoka huyo wa Ubelgiji anaweza kukamilisha uhamisho wao katika siku zijazo.
Klabu zote tatu zinaonekana zimefikia makubaliano ambayo yamekuwa yakifanyiwa kazi kwa miezi sasa na ndoto ya Hazard ya…
View On WordPress