#VOA. | Waziri Mkuu mpya Libya aahidi kushirikiana na wananchi wote
#VOA. | Waziri Mkuu mpya Libya aahidi kushirikiana na wananchi wote
Abdul Hamid Dbeibah, mhandisi mwenye umri wa miaka 61, aliteuliwa Ijuma na Baraza la wajumbe 75 wa Libya, wakati wa mazungumzo yaliyoongozwa na Umoja wa Mataifa nje ya mji wa Geneva, ili kua kaimu waziri mkuu. Mazungumzo hayo yanakamilisha utaratibu wa majadilinao yaliyoanza mwezi Novemba mwaka 2020 kwa lengo la kurudisha amani katika taifa hilo la Afrika Kaskazini. Kuanzia Jumamosi Libya imeanza…
View On WordPress












