#VOA: Magufuli aahidi ajira baada ya 'kutumbua majipu' serikalini
#VOA: Magufuli aahidi ajira baada ya ‘kutumbua majipu’ serikalini
[ad_1]
“Waziri mkuu, hawa watumishi mishahara yao ikatwe na waondolewe kwenye utumishi wa umma mara moja,” Rais ameagiza hilo wakati akipokea repoti ya uhakiki wa vyeti vya wafanyakazi wa serikali makao makuu Dodoma.
“Watakaofika na kubisha mpaka mwezi wa tano basi wachukuliwe hatua hata wakafungwe hiyo miaka 7.Hizo nafasi 9,932 zitangazwe ili watu wenye sifa wapate kuzijaza,” Rais amesisitiza.
View On WordPress












