UZINDUZI NA UGAWAJI WA HATI MILIKI ZA KIMILA WILAYANI SERENGETI Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Anjelina Mabula ameipongeza Shirika la Frankfurt Zoological Society (FZS) kwa kutumia zaidi ya Sh Milioni 800 kwa ajili ya kuandaa Hatimiliki za Kimila kwa vijiji vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Ambapo Jumla ya Hati Miliki za Kimila 6369 zilitolewa Kwa Wananchi "Usimamizi Mzuri wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi,na Utoaji wa Hatimiliki za Kimila kwa kwa kila Kipande cha Ardhi Kijijini ni Nyenzo Muhimu Katika uhifadhi wa Ikolojia ya Serengeti,na Suluhisho la migogoro ya Ardhi Nchini." Habari Picha: Matukio mbalimbali katika ziara ya Mhe.Waziri A.Mabula wilayani Serengeti. Agosti 23,2022-JIANDAE KUHESABIWA #ardhitopramono #ardhi #wizarayaardhi @dr.angelinemabula @ubungomanispaa @uvccm_w_serengeti @autocom_japan_africa_ https://www.instagram.com/p/Cf8zuDSNbPc/?igshid=NGJjMDIxMWI=















