Word of the Day: baraza
seen from Canada
seen from Malta

seen from Tunisia
seen from Hong Kong SAR China
seen from United States
seen from Türkiye
seen from Canada
seen from China
seen from China

seen from Italy
seen from China
seen from China

seen from Malaysia
seen from United States

seen from China

seen from Taiwan
seen from Türkiye

seen from Malaysia

seen from Malaysia

seen from Malaysia
Word of the Day: baraza
MAZUNGUMZO YA RAIS WA ZANZIBAR NA MADAKTARI WAZALENDO WA MATIBABU YA UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba ile ndoto yake ya kuifanya Zanzibar iwe ni sehemu ya kutoa tiba za kibingwa sasa imeanza. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo wakati alipowapongeza madaktari wa Kitengo cha upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu cha Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao aliwaaita Ikulu Jijini Zanzibar kwa…
View On WordPress
Habari Kwa Picha Rais Magufuli aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Katibu Mkuu kiongozi John Kijazi Viwanja vya Karimjee
Rais Magufuli aongoza waombolezaji
Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwenye shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli atawaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu
View On WordPress
Masilahi inayopstikana nyuma ya mabadiliko ya sheria ya Tanzania Inavyogawa makundi katika siasa za Tanzania Nchi yenye Demokrasia ya kipekee Dunia
Masilahi yaliyopatikana nyuma ya mabadiliko ya sheria ya Tanzania
Kuna vikundi viwili nyuma ya wito unaokua wa mabadiliko ya katiba nchini Tanzania. Mmoja anapigania mabadiliko ambayo yataleta usawa katika eneo la kisiasa wakati mwingine anatafuta kuongezewa muda wa Rais John Magufuli. Kundi la kwanza, linaloundwa na wanaharakati, linafanya kampeni ya marekebisho ya katiba ambayo yangewezesha kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, kundi lingine linaundwa na…
View On WordPress
PICHA YA LEO: 18 Januari 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini, Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Magharibi Dkt. Abednego Keshomshahara, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Desiderius Rwoma, Shehe wa Bukoba Mubarak Juma pamoja na Padre Revocatus Mwehuzi muda mfupi mara baada ya kupata…
View On WordPress
Mhe.Bashungwa tutaendelea kuyaendeleza mazuri ya Dkt. Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Innocent Bashungwa amesema kuwa mambo yote mazuri yaliyofanywa na mtangulizi wake Dkt.Harrison Mwakyembe katika sekta anazozisimamia atayaendeleza ili matarajio ya kuundwa kwa kwa Wizara hiyo yafikiwe.
Mhe.Bashungwa ameyasema hayo leo Desemba 11, 2020 wakati akipokea Ofisi kutoka kwa Waziri mstaafu Dkt.Harrison Mwakyembe ambapo ameeleza kuwa…
View On WordPress
DKT ABBASI: VYAMA, MASHIRIKISHO VILETE MIKAKATI TIMU ZA TAIFA KUFIKIA DISEMBA 31 MWAKA HUU
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ameyaagiza mashirikisho na vyama mbalimbali vya michezo nchini ambavyo vinasimamia Timu za Taifa kuwasilisha ratiba na mikakati ya timu hizo kwa mwaka 2021 kufikia mwisioni mwa mwezi huu.
Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Dar es Salaam alipokuwa akifungua na kisha kutoa mada kwenye semina ya maafisa habari na wasemaji…
View On WordPress
UTEUZI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo December 06, 2020
View On WordPress