WAJUE MAJINI HATARI WANAOKUSUMBUA KUPITIA NYOTA YAKO
WAJUE MAJINI HATARI WANAOKUSUMBUA KUPITIA NYOTA YAKO
Hii ni kwa wale ambao wanatawaliwa na sayari ya utwaridi ambayo hutawala siku ya jumaatano hii ni kwa watu wa nyota ya mapacha na mashuke. watu hawa hutawaliwa sana na majini mchanganyiko lakini kiongozi wa majini hao wanao mtawala ni Bin daud.
Lakini wengi humtambua na kumuita Suleiman bin daudhilo sio jina lao fasaha ingawaje hata wao wengi anapokuwa bado mdogo hujiita hivyo. Jini huyu huwa…
View On WordPress










