IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI
IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI
Je, ulishawahi kuona mti uliopigwa na radi? Unafahamu kwamba una matumizi lukuki katika masuala ya tiba na kinga? Basi siku ya leo utaweza kufahamu japo kwa ufupi kuhusiana na mti ambao ulipata kuangukiwa au kupigwa na radi.
(1). MTU ALIYEPOOZA MIGUU/MWILI :Kuna wale watu ambao wamekumbwa na mitihani ya kupooza mwili au miguu, basi endapo mti huu ukaandaliwa kwa kufuata taratibu zote za kijadi,…
View On WordPress















