CHUMA ULETE NI NINI?.
Chuma ulete ni aina ya uchawi ambao hutumiwa na Wanga au Wachawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine. Uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na shughuli za kibiashara kwani hapo ndipo pesa inapopatikana kirahisi. Uchawi huu wa chuma ulete umegawanyika sehemu kuu tatu(3) kulingana na nguvu ya mtumiaji. Kwani ifahamike kwamba mwanga anaweza…
View On WordPress











