#TMN #Update Nchi lazima ijengwe na lazima Tanzania iwe nchi ya mfano duniani, lakini pia watu wake lazima waishi kuifrahia nchi yao Sipingani na sikwamishi maendeleo tafadhali lakin Kiuhalisia kilichofanyika Ni tofauti na tulivyodhania Itakuwa ngumu kuizoea hii na itakuwa ngumu kuamini wananchi wanafuraha kweli Yote tunayafanya ili kutafuta Furaha ya wananchi na si kupotezea Furaha ya wananchi #DC_JOKATI #Kisarawe https://www.instagram.com/p/CNMrqNHLLG6/?igshid=1t68oeyizgzru















