#dodomacity Kamanda wa police mkoani Dodoma Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu sita (6) na majeruhi kadhaa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Manzase wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Ajali hii imetokea leo Julai 03, 2022 . Pole kwa majeruhi wote na pole kwa familia za marehemu wote . #modealertv #dailymodealer #modealer839 Powered by @next_fashion_brand #roadaccidents #accident https://www.instagram.com/p/Cfi5_xdqYEJ/?igshid=NGJjMDIxMWI=













