Mwimbaji wa R & B @chrisbrownofficial baada ya kupotezwa kwenye Tuzo za Grammy na kwenye kipengele cha Albamu Bora ya R & B huku tuzo hiyo ikienda kwa Robert Glasper. Kupitia insta story yake Breezy aliweka picha ya ushindi wa Glasper na " Yall playing , " aliandika juu ya picha ya Glasper ambae ndio mshindi huku akiweka emoji za kucheka . " Huyu ni nani ? " Aliuliza chris. Swipe>>>> *********************************** We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD #MillardAyoENT https://www.instagram.com/p/CoTmASdr9k4/?igshid=NGJjMDIxMWI=

















