Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Raheem Sterling kwa mkataba wa kudumu, Chelsea italipa ada ya £45m kwa Manchester City kwa ajili ya winger huyo, Aliye sakwa na Tuchel kwa hama kubwa. Mkataba wa muda mrefu uliokubaliwa na Raheem mpaka Juni 2027. Sterling aliitaka tu Chelsea iwe kipaumbele chake, licha ya mazungumzo ya mkataba mpya na City. Thomas Tuchel tayari alikuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na Sterling, akimfafanulia mradi na mipango ya msimu ujao. Sterling atakuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi Chelsea Usajili wa kwanza kwa Chelsea kwa dirisha kubwa. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD #chelsea #cfc #mcfc #mancity #ucl #sterling #epl #england #transfers #football #herewego https://www.instagram.com/p/CfzjxKiKsSj/?igshid=NGJjMDIxMWI=















