Kutoka kwa mwanamuziki /rapper mkongwe kwenye game ya bongo fleva #ChidiBenzi ameamua kutoa ushauri kwa mwanamuziki na CEO wa record label ya WcB @diamondplatnumz kutokubali kuwa na watu wanaoitwa chawa akitafsiri kuwa neno Chawa ni wadudu wanaotokana na Uchafu. ************************************* We give you what you deserve ************************************* Follow us @yetusote_tv . . . #yetusote_tv #harmonize_tz#AzamSports2 #nguvumoja #zuchu#kondegang4everybody #GlobalTVOnline#rayvanny #yangasc #wasafimedia #kingkiba#KondeGang #tanashadonna #sammisagotv#dizzimonline #Etrending #mashamsham#rickmedia #zarithebos #NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD https://www.instagram.com/p/Cf4Jghkqcvp/?igshid=NGJjMDIxMWI=










