#TRT: Rais wa Iran atishia kujitoa katika mkataba wa nyuklia iwapo itawekewa vikwazo vipya Rais wa Iran Hasan Rohani atishia kujiondoa katika mkataba wa nyuklia iwapo itawekewa vikwazo vipya Rais wa Iran Hasan Rohan afahamisha kuwa taifa lake litajiondoa katika mktaba uliosainiwa kuhusu silaha za nyuklia uliosainiwa na baina yake na mataifa makubwa iwapo Marekani itaendelea kushawishi kuongezwa kwa vikwazo.












