#TRT: Trump atishia kukata msaada kwa mataifa yatakayopiga kura UN dhidi ya uamuzi wake Rais wa Marekani atakata msaada kwa mataifa ambayo yatapiga kura dhidi ya uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu sauala hilo baada ya Marekani kuzuia msauda wa Baraza la Usalama kwa kutumia kura yake ya turufu.













