Aliou Cissé -Boti la kuzimu lilivyoangamiza jamaa wake 11
Aliou Cissé -Boti la kuzimu lilivyoangamiza jamaa wake 11
Ni mwaka wa 2002, James Copnall aliripoti kutokea Senegal jinsi nahodha Aliou Cisse na timu ya kadanda walikuwa wamerejea nyumbani ili kuwasaidia wenzao kupigana na mkasa.
Mkasa ambapo feri moja ilizama na kupelekea kifo cha maelfu ya watu.
Lakini ilimchukua Aliou Cissé siku moja kugundua kuwa baadhi ya watu kutoka familia yake walihusika na mkasa huo.
Akiwa amekaa kwenye nyumba yake pale…
View On WordPress















